Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Emmanuel Nelson akiwa wodini Hospitali ya Taifa Muhimbili.
EMMANUEL NELSON mwenye umri wa miaka kati ya (30 - 35), ambaye ni mzaliwa wa Mbamba Bay, Ruvuma, na ambaye wazazi wake wanaishi Dodoma, anaomba msaada wa kutibiwa taya ambalo limevunjika.