Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

YALIYOJIRI KWENYE HAFLA YA WANAHABARI NA KAMPUNI YA AFRIKA INTERNET HOLDING

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu. 


Meneja wa Kampuni ya Lamudi nchini Tanzania, Godlove Nyagawa akizungumza na wageni waalikwa wanahabari na wadau wengine wa kampuni hiyo kwenye hafla ya kufahamiana iliyoandaliwa na Afrika Internet Holding. Meneja wa Kampuni ya Lamudi nchini Tanzania, Godlove Nyagawa akizungumza na wageni waalikwa wanahabari na wadau wengine wa kampuni hiyo kwenye hafla ya kufahamiana iliyoandaliwa na Afrika Internet HoldingMeneja wa Kampuni ya Kaymu.com nchini Tanzania, Erfam Mosgani (kushoto) akizungumza na baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya kufahamiana na kubadilishana uzoefu na wanahabari iliyoandaliwa na kampuni ya Afrika Internet Holding. Meneja wa Kampuni ya Kaymu.com nchini Tanzania, Erfam Mosgani (kushoto) akizungumza na baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya kufahamiana na kubadilishana uzoefu na wanahabari iliyoandaliwa na kampuni ya Afrika Internet Holding.
Kutoka kushoto ni Meneja wa Kampuni ya Kaymu.com nchini Tanzania, Erfam Mosgani (kushoto), Meneja Mwendeshaji wa Mo Blog, Mr. Zainul M. na Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Mahusiano Kaymu.com, Angaza Nkurlu wakibadilishana uzoefu katika hafla ya kufahamiana iliyoandaliwa na kampuni ya Afrika Internet Holding. Kutoka kushoto ni Meneja wa Kampuni ya Kaymu.com nchini Tanzania, Erfam Mosgani (kushoto), Meneja Mwendeshaji wa Mo Blog, Mr. Zainul M. na Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Mahusiano Kaymu.com, Angaza Nkurlu wakibadilishana uzoefu katika hafla ya kufahamiana iliyoandaliwa na kampuni ya Afrika Internet Holding.Baadhi ya wanahabari na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding wakiwa katika hafla hiyo. Baadhi ya wanahabari na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding wakiwa katika hafla hiyo.Ofisa Msaidizi Kitengo cha Uhusiano wa Kampuni ya Lamudi Tanzania, Lilian Kisasa (katikati) akibadilishana uzoefu na baadhi ya wanahabari katika hafla ya kufahamiana iliyoandaliwa na kampuni ya Afrika Internet Holding. Ofisa Msaidizi Kitengo cha Uhusiano wa Kampuni ya Lamudi Tanzania, Lilian Kisasa (katikati) akibadilishana uzoefu na baadhi ya wanahabari katika hafla ya kufahamiana iliyoandaliwa na kampuni ya Afrika Internet Holding.
Meneja wa Kampuni ya Jumia nchini Tanzania, Sabrina Dorman (kushoto)akizungumza na baadhi ya wageni waaliwa (wanahabari) katika hafla ya kufahamiana na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding. Meneja wa Kampuni ya Jumia nchini Tanzania, Sabrina Dorman (kushoto)akizungumza na baadhi ya wageni waaliwa (wanahabari) katika hafla ya kufahamiana na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holdingt.IMG_0027Baadhi ya wanahabari na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding wakiwa katika hafla hiyo. Baadhi ya wanahabari na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding wakiwa katika hafla hiyo.Meneja wa Kampuni ya Jumia nchini Tanzania, Sabrina Dorman (katikati) akizungumza na baadhi ya wageni waaliwa (wanahabari) katika hafla ya kufahamiana na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding. Meneja wa Kampuni ya Jumia nchini Tanzania, Sabrina Dorman (katikati) akizungumza na baadhi ya wageni waaliwa (wanahabari) katika hafla ya kufahamiana na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding.Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Carmudi Afrika Mashariki, William Day (kushoto) akibadilishana mawazo na mmoja wa maofisa wa kampuni yake. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Carmudi Afrika Mashariki, William Day (kushoto) akibadilishana mawazo na mmoja wa maofisa wa kampuni yake.Baadhi ya wanahabari na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding wakiwa katika hafla hiyo. Baadhi ya wanahabari na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding wakiwa katika hafla hiyo.Baadhi ya wanahabari na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding wakiwa katika hafla hiyo. Baadhi ya wanahabari na wadau wa kampuni ya Afrika Internet Holding wakiwa katika hafla hiyo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>