Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza akizungumza jambo kwenye uzinduzi wa mpango wa kuuza filamu zake kwa njia ya mtandao
Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akizindua rasmi mpango wa kuuza filamu zake kwa njia ya mtadao wa kwanza kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi Joyce Fissoo pamoja na Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza(wa kwanza kushoto)
Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akizungumza jambo baada ya kuzindua mpango wa kuuza filamu kwa njia ya mtandao. Wa kwanza kulia ni Rais wa shirikisho la filamu nchi Tanzania (TAFF), Bw. Simon Mwakifamba na kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi Joyce Fissoo
Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara akitazama moja ya filamu iliyonunuliwa kwenye uzinduzi wa kuuza filamu kwenye mtandao wa kwanza kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi Joyce Fissoo
Msanii wa maigizo Elizabeth Diana Michael "Lulu" akieleza jambo kwa Waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Dkt Fenella Mukangara kwenye uzinduzi wa kuuza filamu kwa kutumia mtandao katikati ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Bi Joyce Fissoo
Baadhi ya wadau waliofika kwenye hafla hiyo
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza(kulia) akibadishana mawazo na baadhi ya wadau waliofika kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika jana kwenye Hoteli ya Southern sun ya jijini Dar
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini