Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' akiwa kwenye red Carpet kwenye shoo ya yake iliyofanyika ndani ya New Maisha Club ya jijini Dar
Msanii wa Hip Hop, wakazi akitoa burudani
Msanii Khalid Mohamed aka TID (Top in Dar) akitoa burudani ya nguvu ndani ya Club ya New Maisha jijini Dar
TID akiimba pamoja na mashabiki wake
Msanii TID akiendelea kutoa burudani ya nguvu na kushoto ni Msanii wa Bongo Jay Moe
Msanii wa Bongo Jay Moe akitoa burudani kwa mashabiki kwa kuwaimbia nyimbo za zamani
TID akiimba na mmoja wa wasanii wanaounda kundi la Yakuza Mob, Gilla the Boss
Gilla the Boss akiendelea kutoa burudani
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Chidi Benz akitoa burudani ya nguvu kwenye stage ya New Maisha Club jijini Dar
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Chidi Benz (kulia) akiimba na msanii mwenzake TID
Msanii mahiri wa muziki wa kitambo kwenye muziki wa Bongo Flaver, Khaleed Mohamed 'TID' (wa kwanza kulia) akiwa na Dully Sykes(wa pili kutoka Kulia), Msanii wa Bongo Jay Moe (wa pili kutoka kushoto) pamoja na Solo Thang (kushoto)
Baadhi ya mashabiki waliofika kutizama shoo hiyo wakifuatilia kwa umakini