Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI ENEO LA GONGO LA MBOTO JIJINI DAR

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.



Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing alipowasili kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam jana Jumamosi 10, 2015. Wengine ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe Said Meck Sadick.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Samuel Ndomba Mhe alipowasili kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam jana Jumamosi Januari 10, 2015.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili tayari kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam jana Jumamosi Januari 10, 2015.
Sehemu nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi zilizozinduliwa leo na Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es salaam jana Jumamosi Januari 10, 2015
Wasanii wa Kikundi cha utamaduni cha JWTZ kikitumbuiza wakati wa sherehe za uzinduzi wa nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi zilizozinduliwa leo na Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es salaam jana Jumamosi Januari 10, 2015.
Sehemu nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi zilizozinduliwa leo na Rais Kikwete Gongo la Mboto jijini Dar es salaam jana Jumamosi Januari 10, 2015.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi akisaidiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange Gongo la Mboto jijini Dar es salaam jana Jumamosi Januari 10, 2015.


Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam jana Jumamosi Januari 10, 2015.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa mradi huo wa nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wanajeshi baada ya kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi Januari 10, 2015. PICHA NA IKULU

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>