Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

PICHA: MOTO WATEKETEZA GHALA LA KUHIFADHIA RANGI USIKU WA KUAMKIA LEO ENEO LA KIJITONYAMA JIJINI DAR ES SALAAM

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Askari wa Kikosi cha zima moto wakiendelea na zoezi la uzimaji moto katika ghala la kuhifadhi rangi za kampuni ya Colar Paint lililopo katika Mtaa wa Kenya, Kijitonyama usiku wa kuamkia leo. Chanzo cha moto huo hakijafahamika mpaka sasa na eneo kubwa la ghala hilo limeteketea kabisa kwa moto huo hakuna mtu yeyote alieripotiwa kupoteza maisha au kujeruhiwa katika moto huo.
Sehemu ya Maduka yaliyokuwa yamezunguka nje ya ghala hilo kama yanavyoonekana, hakuna alieweza kuokoa chochote.
CHANZO: MICHUZI BLOG

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>