Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mbunge wa Jimbo la Musoma mjini Mkoa wa Mara, Vincent Josephat Kiboko Nyerere, akihutubia wananchi wa Musoma katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Mukendo mjini Musoma juzi.