Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

RAIS UHURU KENYATTA AFIKA NYUMBANI KWA RAILA ODINGA NA KUTOA SALAMU KATIKA MSIBA WA FIDEL ODINGA

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akisaini kitabu cha maombolezo alipokwenda kuhani msiba wa mtoto wa Raila Odinga, Fidel Odinga aliyefariki jana. Kulia ni mke wa Odinga, Ida Odinga.
 Rais Uhuru Kenyatta akimpa pole aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga huko Karen, nchini Kenya.
Rais Uhuru Kenyatta akimpa pole mjane wa marehemu Fidel Odinga, Lwam Getachew Bekele nyumbani kwao Karen, Kenya.(Picha zote na Facebook Page ya Rais Uhuru Kenyatta)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>