Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Picha ya Col. Clement Mwihava ikiwa mbele ya kanisa wakati wa misa.
Padri Honest Munishi(kushoto) akisaidiwa na padri FilbertTairo wakati wakiongoza misa ya kumbukumbu ya Col. Clement Mwhava iliyofanyika siku ya Jumampili Januari 4, 2015 katika kanisa la Katoliki la Mt. Edward lililopo Baltimore.
Derek Mwihava akisoma somo la kwanza katika misa ya kumbukumbu ya mpendwa baba yao iliyofanyika Baltimore katika kanisa la Mt. Edward siku ya Jumapili Januari 4, 2015.
Neema Tembele akisoma somo la pili katika misa ya kumbukumbu ya mpendwa baba yao Col. Clement Mwihava iliyofanyika siku ya Jumapili Januari 4, 2015 katika kanisa la Mt. Edward lililopo Baltimore, Maryland nchini Marekani.
Padri Filbert Tairo akisoma somo
Padri Honest Munishi akitoa maelezo ya somo kwenye misa ya kumbukumbu ya Col. Clement Mwihava iliyofanyika siku ya Jumapili Januari 4, 2015 katika kanisa Katoliki la Mt. Edward lililopo Baltimore, Maryland nchini Marekani.
Mwambata wa Jeshi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Canada Col. Aldoph Mutta akisoma wasifu wa Col. Clement Xavier Mwihava.
Kenny Mwihva akitoa neno la shukurani kwa wale wote waliowafariji aidha kwa kufika au kupiga simu.
Sunday Shomari akitoa maelekezo.
Wafiwa wakifuatilia misa ya kumbukumbu ya mpendwa baba yao Col. Clement Mwihava liyofanyika siku ya Jumapili katika kanisa Katoliki la Mt. Edwards lililopo Baltimore, Maryland nchini Marekani.
Kwa picha zaidi bofya HAPA