Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

PICHA: YALIYOJIRI KWENYE MECHI KATI YANGA NA POLISI KWENYE KOMBE LA MAPINDUZI

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mshambuliaji wa timu ya Yanga akiwapita mabeki wa timu ya Polisi katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan, timu ya Yanga imeshinda 4-0.

ENDELEA KUTAZAMA MECHI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Khamis Tambwe akituliza mpira huku beki wa timu Polisi akijiandaa kumzuia.
Wachezaji wa timu ya Yanga na Polisi wakiwania mpira katika mchezo wao kuwania Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zenj. 

    Habari na picha kwa hisani ya ZanziNews

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles