Bendi ya Jeshi la Wananchi likiongoza masafara wa elimu kuelekea katika viwanja vya Chimwaga kwaajili ya Mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyohitimishwa kwa Wahitimu Mbalimbali kutunukiwa Shahada mbalimbali na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa.
Msafara wa Elimu ukienda kwenye Viwanja Vya mahafali leo, mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yaliyohitimishwa katika Viwanja vya Chimwaga Chuoni hapo
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Prof Idrisa Kikula (Mbele) akiongozana na Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa (katikati) na Mkuu wa Baraza la Bodi ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Balozi Juma Mwapachu (kulia) katika mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma yaliyohitimishwa katika Viwanja vya Chimwaga Chuoni hapo
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Meza kuu ikiongozwa na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa Wakiwa wamesimama Kwaajili ya Kuimba Wimbo wa Taifa kabla ya sherehe ya Mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) kuanza
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Prof Idris Kikula Akitoa hotuba fupi kabla hajamkaribisha Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) kuongea machache kabla na yeye Kumakaribisha Mkuu wa Chuo Kwaajili ya Kuanza zoezi la kuwatunuku wahitimu wa shahada mbalimbali za Chuo Kikuu Cha Dodoma leo katika mahafali ya nne ya UDOM yaliyofanyika katika Viwanja vya Chimwaga
baadhi ya wahitimu wa shahada mbalimbali za Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakisubiri Mahafali yao ya Nne Kwaajili ya Kutunukiwa shahada zao na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) .
Mwenyekiti wa baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Balozi Juma Mwapachu akisoma risala fupi kabla ya Kumkaribisha Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa kuanza zoezi la Kuwatunuku wahitimu wa shahada mbalimbali za Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) katika mahafali ya Nne ya Chuo hiko yaliyofanyika leo katika Viwanja Vya Chimwaga
Baadhi ya Ndugu, Jamaa na marafiki wa wahitimu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakiwa nje ya Ukumbi wa Chimwaga Kabla ya Mahafali kuanza
Baadhi ya Ndugu, Jamaa na marafiki wa wahitimu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakisubiri kushuhudia mahafali ya nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) yaliyomalizika tarehe 23 Novemba 2013 katika Viwanja vya Chimwaga Vilivyopo Chuoni Hapo
Ulinzi ukiimarishwa kila sehemu hapo askari wa JKT na Jeshi la polisi wakiwakagua ndugu,jamaa na marafiki wa wahitimu wa Shahada mbalimbali za Chuo Kikuu Cha Dodoma waliofika katika viwanja vya Chimwaga Kushuhudia ndugu zao wakitunukiwa shahada zaoPICHA ZOTE NA JOSEPHAT LUKAZA WA LUKAZA BLOG
HIZI HAPA CHINI NI MAHAFARI YA WALIMU YALIYOFANYIKA TAREHE 22, 2013
Mlau wa Chuo kikuu cha Dodoma akiongoza maandamano huku akiwa amebeba mfano wa ufunguo kama alama ya Elimu kuwa ufunguo wa maisha wakati wa mahafali ya nne ya chuo hicho.
Mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma [UDOM] Benjamin Mkapa akiwa kwenye mahafali ya ya nne ya chuo hicho yaliyofanyika chimwaga alipohudhuria kama mgeni rasmi na kushoto ni Mwenyekiti wa Chuo hicho DKT Juma Mwapachu na kulia ni Makamu mkuu wa chuo hicho Idris Kikula
Rais mstaafu Benjamin Mkapa ambae pia ni mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma [UDOM] akimtunuku kwa kumvilisha kofia mmoja wa wahitimu wa shahada ya uzamivu [PHD] katika sayansi ya jamii David Mwendamaka kama ishara ya heshima kufikia ngazi hiyo.
Mhitimu wa Shahada ya Uzamili katika uongozi George Simbachawene akipiga makofi kufurahia jambo pamoja na wahitimu wenzake wakati wa mahafali ya nne ya chuo kikuu cha Dodoma yaliyohuzuliwa na Rais mstaafu Benjamin Mkapa ambaye ni mkuu wa chuo hicho.
Wahitimu wa Shahada ya Uzamili katika uongozi wakiwa katika furaha baada ya kufikia ngazi hiyo.
Naibu waziri wa nishati na madini George Simbachawene aliyevaa joho katika akiwa katika picha ya pamoja na familia yake katika viwanja vya chimwaga [UDOM] waliofika kumpongeza baada ya kuhitimu Shahada ya pili ya Uzamili katika uongozi.(PICHA NA JOHN BANDA)