Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa amebebwa na wacheza shoo wake siku ya mwaka mpya Kigali, Rwanda.
Diamond Platnumz akifanya yake.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mashabiki wa Diamond Platnumz wakicheza kwenye stage
Diamond Platnumz akiendelea kutoa makamuzi ya nguvu kwa mashabiki wake
Akifanya yake na wacheza shoo wake.
Msanii wa Rwanda, Knowles
Full shangwe
Nyomi ya kufa mtu waliofika siku ya shoo hiyo.
Mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady' mpenzi mpya wa Diamond Platnumz akiwa katika pozi.
Muonekano wa siku ya shoo hiyo.
Diamond Platnumz (katikati) akifanya yake akiwa na Yamoto Bendi.