Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

JENGO LA GHOROFA LAPOROMOKA NA KUJERUHI WATU MJI MKONGWE, ZANZIBAR

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

 Kikosi cha Uokoaji kikitoa huduma ya kwanza kwa majeruhi katika eneo la tukio.
 Jengo moja llililopo eneo la Mji Mkongwe, Zanzibar limeporomoka na kujeruhi watu kadhaa leo majira ya saa tano asubuhi. Idadi kamili ya majeruhi katika ajali hiyo bado haijafahamika.
Muonekano wa ndani ya jengo hilo baada ya kuporomoka


Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>