Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

JAMANI HUU SI UCHOCHEZI, WAHUSIKA MNALIONA HILI?

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Miaka yote uchaguzi wa viongozi wa nchi ufanyika jumapili ila mwaka huu 2015 umekuja na taswira tofauti ambapo dhehebu moja hapa nchini kutoa mashati yaliyoandikwa maneno haya "Uchaguzi usifanyike jumapili" swali la kuuliza kama wanasema uchaguzi usifanyike jumapili wakati ndio siku ya mapumziko tutakuja kuibua mengine. Serikali ikisema uchaguzi ufanyike Ijumaa hata waislamu watakataa au ndo uchaguzi unafanyika siku ya Jumamosi Wasabato nao watakataa usifanyike siku hiyo.
Kwa mtazamo wa mtandao huu wa Pamoja kama suala hili likikubaliwa bali nchi hii kutakuwa na mgawanyiko wa kidini ambao unaweza kutupeleka pabaya. Neno moja kwa serikali iliangalie hili jambo kiundani na sio kulifumbia macho

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>