Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Moto mkubwa unateketeza maduka na nyumba za makazi ya watu katikati ya mji wa Handeni. Tukio hili limetokea karibu na duka kubwa la bwana John Shayo hadi uelekeo wa bank. Hii ni baada ya lori lenye mafuta kugonga nguzo ya umeme na kulipuka. . (habari na mdau wetu: Albert Thomas Kawogo)
Wananchi wakishuhudia moto mkubwa uliozuka katika ajali hiyo.
Wananchi wakishuhudia moto mkubwa uliozuka katika ajali hiyo.