Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Foleni hii ilikuwa kwenye Barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Daraja la Sarenda jijini Dar leo jioni
Foleni hii ilikuwa kwenye barabara ya Bagamoyo eneo la Victoria karibu na Makumbusho jijini Dar leo jioni
Foleni hii ilikuwa kwenye Barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Mbuyuni