Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mvua ikiendelea kunyesha makutano ya Fire jijini Dar leo
Foleni likiwa limeshika kasi baada ya mvua kunyesha jijini Dar
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Basi hili likiwa limedondoka mtaroni baada ya kukosea njia wakati maji yamejaa barabarani
Picha hapa chini zinaonesha baadhi ya maeneo ya Posta yakiwa yamejaa maji mpaka kupelekea msongamano kwa magari pia ilikuwa kero kwa waenda kwa miguu