Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania waishio nchini Qatar, Mzee Said akisoma risala katika mkutano kati ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na watanzania waishio Qatar uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha Desemba 21, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda wakizungumza na Mchezaji Mwinyi Kazimoto ambaye ni Mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya Al Markhiaya nchini Qatar, katika mkutano kati yake na watanzania waishio nchini humo uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton mjini Doha Desemba 21, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda (kushoto kwake) wakizungumza na baadhi ya washiriki wa mkutano kati yake na watanzania waishio nchini Qatar uliofanyika kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha, Desemba 21, 2014.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano kati ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Watanzania waishio nchini Qatar wakimsiliza Waziri Mkuu wakati alipozungumza nao kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha Desemba 21,2014.
Sehemu ya Mawaziri na Wakuu wa Mikoa walioambatana na Waziri Mkuu kwenye ziara hiyo.
Picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania waishio Qatar.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watanzania waishio nchini Qatar baada ya kuzungumza nao kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Doha, Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)