Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

PICHA: MTU MMOJA AKUTWA AMEKUFA KANDO KANDO YA MTO ILOLO, JIJINI MBEYA

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.




    Mwili wa marehemu huyo ukiwa kando ya mto huo.
Leo asubuhii  mtu mmoja amekutwa kando kando ya mto wa Ilolo uliopo jijini Mbeya akiwa amepoteza maisha, na haijafahamika mpaka sasa ni kitu gani kilichomsibu mtu huyo mpaka kufukwa na mauti hayo. Mpaka sasa hakuna alieweza kumtambua mtu huyo haifahamiki kuwa ni mkazi wa wapi.
 Wakazi wa maeneo ya jitani na mto huo wakiuangalia mwili huo kuona kama wanaweza kumtambua.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakidhadhiana juu ya tukio hilo,la mauaji lililo tokea mtaa huo.
majonzi yametawala eneo hilo.picha na Fadhiri Atick mr pengo globu ya jamii mbeya.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles