Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

MSIBA WA MAREHEMU SHEM KARENGA WAHAMISHIWA MTAA WA UFIPA, KINONDONI, DAR ES SALAAM

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.



Marehemu Shem Ibrahim Karenga enzi za uhai wake.

TAARIFA ZILIZOTUFIKIA ZINASEMA KWAMBA FAMILIA YA MAREHEMU SHEM KARENGA IMEHAMISHIA MSIBA HUO KINONDONI, MTAA WA UFIPA (JIRANI NA OFISI ZA CHADEMA). 

MIPANGO YA MAZISHI INABAKI PALEPALE YAANI KESHO MAREHEMU ATASWALIWA KATIKA MSIKITI WA MANYEMA, KARIAKOO, BAADA YA SWALA YA ALASIRI NA KISHA KUELEKEA MAKABURI YA KISUTU KWA MAZISHI

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>