Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Bi. Twitikege Mlagha Mafumu enzi za uhai wake
Mwili wa marehemu, Bi. Twitikege Mlagha Mafumu utaagwa kesho saa 4 asubuhi katika Hospitali ya Wilaya ya Temeke kisha kupelekwa katika Kijiji cha Kibumbe, wilayani Rungwe mkoani Mbeya ambapo atazikwa Desemba 17 alasiri.
Mwili wa marehemu, Bi. Twitikege Mlagha Mafumu utaagwa kesho saa 4 asubuhi katika Hospitali ya Wilaya ya Temeke kisha kupelekwa katika Kijiji cha Kibumbe, wilayani Rungwe mkoani Mbeya ambapo atazikwa Desemba 17 alasiri.
Kikundi cha kusaidiana cha Tupendane Pugu Kajungeni wakiwa katika msiba wa Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu Jijini Dar.
Ndugu Jamaa na Marafiki wakiwa katika Maombolezo ya Msiba wa Mama yao Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale Jijini Dar es salaam
Baadhi ya Ndugu, Jamaa na Marafiki wakiwa katika Msiba
Baadhi ya Skauti wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye Msiba wa Mama Mzazi wa Mary Anyitike ambaye ni Kamishna Mkuu Msaidizi Shughuli za Vijana Taifa
Meneja Mkuu wa Global Publishers Limited Bwana. Abdalah Mrisho akitoa mkono wa pole kwa Dada mkubwa wa kina Mwaibale Mwalimu Mary Anyitike
Mwanahabari Kulwa Mwaibale (mwenye Fulana nyekundu) akiwatambulisha wafanyakazi wenzake wa Kampuni ya Global Publisher kwa wanafamilia.
Baadhi ya wafanyakazi wa Jambo Leo wakiwa wamefika kuhani msiba wa Mama yao Dotto, Kulwa na Nico Mwaibale