Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Miss World 2014, Rolene Strauss aliyeiwakilisha South Africa akifurahi baada ya kutangazwa mshindi wa Taji la Miss World 2014.
Kutokana na mwakilishi wa Tanzania, Happiness Watimanywa kupitwa kura na Miss Thailand hakufanikiwa kuingia kwenye Top 10, huku katika wale waliotajwa kuingia Top 10 ni wawakilishi wawili pekee kutoka Afrika, mmoja wa South Africa na mwakilishi wa Kenya waliofanikiwa kuingia Top 10.
Rolene Strauss baada ya kutangazwa mshindi akionesha furaha ya nguvu
Miss World 2014, Rolene Strauss akivishwa taji na aliyekuwa Miss World 2013, Megan Lynne Young.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mwakilishi wa South Africa, Rolene Strauss (katikati) amefanikiwa kutwaa Taji la Miss World 2014, nafasi ya pili ikishikwa na Miss Hungary, Edina Kulcsar (kushoto) na nafasi ya tatu kushikwa na Miss USA, Elizabeth Safrit (kulia)
Miss World 2014, Rolene Strauss akifurahia ushindi alioupata
Host wa Miss World 2014, Tim Vincent akiwa na Miss World 2013, Megan Lynne Young.
Washiriki waMiss World 2014
Miss World 2014, Rolene Strauss akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki waote wa Miss World 2014
Baadhi ya washiriki wa Miss World 2014 wakipita na kuonesha mavazi yao kwenye shindano hilo
Mwakilishi wa Tanzania, Happiness Watimanywa (wa kwanza Kulia) akiwa na washiriki wenzake kwenye shindano ka kumtafuta Miss World 2014
Baadhi ya washiriki wa Miss World 2014 wakipita na kuonesha mavazi yao kwenye shindano hilo
Baadhi ya watu waliofika kuudhuria shindano la Miss World 2014