Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

WATAFITI WAITAJA TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI ZENYE WATU WENYE ROHO MBAYA AFRIKA

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Kwa mujibu wa ripoti ya World Giving Index 2014, Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye watu wenye roho mbaya barani Afrika.

Hiyo ni kwa mujibu wa utafiti uliodhaminiwa na Charities Aid Foundation (CAF) na kufanywa na kampuni ya utafiti ya Gallup na kuhusisha nchi 135 duniani kote. Data hizo zilikusanywa kuanzia mwaka 2013.
Tanzania ilikamata nafasi ya 14 kati ya nchi 24 zilizofanyiwa utafiti na kukamata nafasi ya 87 duniani ikiwa na asilimia 27 nyuma ya Kenya ambayo imekamata nafasi ya kwanza Afrika na nafasi ya 15 duniani ikiwa na maana kuwa ina watu wakarimu na wanajitolea zaidi kusaidia.
Nchini zenye watu wenye roho mbaya zaidi ni Tunisia, Misri na Congo.

Utafiti huo ulifanywa kwa kuwauliza washiriki kama wamewahi kufanya mambo haya:
Wamechanga fedha kwenye charity yoyote, wamejitolea kusaidia taasisi yoyote, kumsaidia mtu asiyemfahamu au kumsaidia wasiyemfahamu baada ya kumuomba msaada.

Marekani imeongoza kwenye orodha hiyo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>