Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Baadhi ya Abiria walionusurika kifo kwenye ajali hiyo wakishangaa.
Baadhi ya Makodakta wa basi hilo badala ya kujali roho za watu wao wanahangaika kuziba jina la Basi, ajali hii imetokea leo asubuhi maeneo ya mlima nyoka zaidi ya abiria 50 wamenusurika kifo
Zaidi ya abiria 50 wamenusurika kifo eneo la mlima nyoka mkoani Mbeya baada ya Basi la Mbukio Mission lililokuwa linatoka Mbeya kuelekea Dsm kugongana na Lori .Habari kamili tutawaletea kwenye blog yetu ya mbeya yetu sasa tupo kwenye tukio.Kwa hisani ya MbeyaYetu Blog.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Baadhi ya Mashuhuda wakishuhudia Ajali hiyo