Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

MAREHEMU ELIAS ANTHONY MAPUNDA AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


1Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda wakiwa wamesimama mbele ya jeneza la marehemu Anthony tayari kwa kiungia katika kanisa katoliki la Mtakatifu Matha Mikocheni kwa ajili ya misa maalum ya mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana Fullshangwe inampa pole Ndugu Nesto Mapunda pamoja na ndugu na jamaa kwa kuondokewa na ndugu yao mpendwa marehemu Elias Anthony Mapunda. Wao walimpenda lakini mungu amempenda zaidi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMEN. 2Mwili wa narehemu Elias Anthony ukiombewa kabla ya kuingizwa kanisani.
3Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda pamoja na waombolezaji wengine wakiombea mwili wa marehemu. 4Mwili wa marehemu Elias Anthony ukiingizwa kanisani 5Kaka wa Marehemu Elias Anthony Mapunda Bw. Nesto Mapunda wa pili kutoka kulia na Mkewe Teddy Mapunda wakiongoza waombolezaji kuingia kanisani. 6Waombolezaji wakiwa kanisani 7Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania TTB Bi. Devotha Mdachi, Meneja masoko wa Bodi hiyo Geofrey Meena wakishiriki katika misa ya mazishi katika kanisa katoliki Mikocheni 8Baadhi ya maofisa wa bodi ya utalii wakiwa katika misa hiyo 9
Msafara uliobeba mwili wa marehemu Elias Mapunda akiwasili katika eneo la makaburi ya Kionondozi tayari kwa mazishi 10
Msafara uliobeba mwili wa marehemu Elias Mapunda akiwasili katika eneo la makaburi ya Kionondozi tayari kwa mazishi 11
Teddy Mapunda akiwa na mama mkwe wake kushoto mama Agness Marangu tayari kwa kushiriki mazishi ya marehemu Elias Anthony Mapunda katika makaburi ya Kinondoni jana. 13Waomboleza wakibeba jeneza la mwili wa marehemu Elias Tayari kwa mazishi. 14151617
Waombolezaji wakiwa makaburini 18
Teddy Mapunda na waombolezaji wengine ndugu jamaa na marafiki wakiweka mchanga kaburini
19
Nesto Mapunda kaka wa Marehemu Elias Mapunda akiweka mchanga kaburini wakati wa mazishi ya marehemu Elias. 20Waombolezaji wakiwa na huzuni kubwa wakati wa mazishi ya Marehemu Elias Anthony Mapunda yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jana.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>