Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Rapper Wakazi juzi amezindua video ya wimbo wake ‘Wanaweke wa Dar’kwenye ukumbi wa M.O.G Bar & Restaurant iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Wakazi akifanya ya kwake kwenye stage
Katika uzinduzi huo Wakazi alisindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo AY, Grace Matata, Damian Soul , Fid Q, Chidi Benz, Songa, One Incredible, Cliff Mitindo na wasanii wengine.
Chidi Benz akifanya ya kwake
AY akionyesha uwezo wake
Grace Matata akiimba pamoja na Damian Soul
Grace Matata
Fid Q akiwazungumza jambo kwenye uzinduzi huo
Mrembo akifuatilia uzinduzi kwa makini
Damian Soul
Cliff Mitindo
Muba wa Mkasi, Zuhura ‘Kamiligado’ na Songa
Mrembo akifuatilia uzinduzi kwa makini