Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Job Ndugai akiongoza Kikao cha Bunge jana Novemba 20,2014 mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda akizungumza, Bungeni Mjini Dodoma jana Novemba 20, 2014.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiteta na Baadhi ya wabuge na Mawaziri, Bungeni mjini Dodoma jana Novemba 20, 2014.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiteta jambo na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki na Mbunge wa Urarmbo, Mh. Samuel Sitta, Bungeni Mjini Dodoma jana Novemba 20, 2014.
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki na Mbunge wa Urarmbo, Mh. Samuel Sitta (kushoto) akijadiliana jambo na baadhi ya Wabunge wa Upinzani kutoka kulia kwake ni Mh. David Kafulila, Mh. David Silinde na Mh. Tundu Lissu.
Mwanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Singida Mashariki,Mh.Tundu Lissu (kulia) akimwonyesha nyaraka fulani Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Mh. Fredrick Werema,nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana Novemba 20,2014.
Mhe Andrew Chenge na Mhe. Richard Ndassa wakitafakari jambo wakati wakitoka katika ukumbi wa Bunge mjini Dododma jana Novemba 20,2014.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiteta na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Mh. Aggrey Mwanri (katikati) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mh. Chiku Galawa, kwenye viwanja vya hoteli ya St. Gaspar Mjini Dodoma baada ya kufungua Kongamano la Ajira la Wakuu wa Mikoa, jana Novemba 20, 2014.