Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA KALA JEREMIAH KUSINDIKIZWA NA BEN POL, STAMINA NA WENGINE KIBAO

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Kala Jeremiah anatarajia kufanya uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya ‘Usikate Tamaa’ aliomshikisha Nuruell. Uzinduzi utafanyika New Maisha Club.

Kala amesema kuwa uzinduzi huo utaofanyika November 23 na utasindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo Mo Music, Stamina, Ben Pol na wengine.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>