Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbroad Slaa akihutubia maelfu ya wananchi wa Kijiji cha Ludewa, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro katika mkutano wa Operesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Ludewa juzi. (Na mpiga picha wetu).