Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

AJALI YATOKEA TABATA MATUMBI BAADA YA LORI LA MIZIGO KUGONGA BASI LA ABIRIA JIJINI DAR

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Lori kubwa aina ya Scania limesababisha ajali baada ya kukatiza barabara ghafla na kuigonga daladala aina ya DCM yenye maba za usajiri T797 BED lenye kufanya safari zake kati ya G/LAMBOTO to UBUNGO.
Wasamalia wema wakiwa katika eneo la tukio

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Namna gari la abilia lilivyoalibiwa na gari kubwa la mizigo aina ya scania
Damu ambazo ni kwa wale abiria walio jeruhiwa katika ajali hiyo.
 Gari hilo likiwa limepasuka vioo vyote na kuharibika sehemu ya mbele pamoja na kutoka kwakioo chake cha mbele
Mwonekano wa daladala  kwa upande.
Wasamalia wema wakijaribu kutoa msaada wa kuwaokoa majeruhi.
Baadhi ya majeruhi wakiwa wametapakaza damu katika maeneo haya ya ajali
Viti vya daladala vikiwa vimeng'oka na kusambaa nje ya maeneo ya barabarani
Katika ajali hiyo hakuna abiria ayepoteza maisha isipokuwa baadhi ya abiria wamejeruhiwa tu.
Ajali hii imetokea mda huu maeneo ya Tabata Matumbi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>