Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

KAMATI YA MISS TANZANIA YADAIWA KUSHINDWA KUKAMILISHA MAHITAJI YA HAPPINESS KWENDA MISS WORLD

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Mshindi wa Miss Tanzania 2013 Happyness Watimanywa
Mama mzazi wa Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa ameitupia lawama kamati ya Miss Tanzania kwa kushindwa kutimiza mahitaji ya mtoto wake ili kumwezesha kwenda kushiriki mashindano ya Miss World.
Akizungumza na E-newz wa Eatv jana, Mama Happiness amesema amekuwa akifatilia kwa kamati hiyo lakini wamekuwa wakimzungusha.
“Wanasema hiki wanasema hiki, kwamfano kama introduction shooting wakasema kwamba is very expensive,kwahiyo mimi nikajitolea nikalipa milioni moja down payment, tangu mwezi wa tano nilikuwa nawaambia mpaka two weeks ago hawana jibu lolote, mimi naogopa mwanangu asije akashushwa kwenye stage, wewe huna visa hauruhusiwi kuja kushiriki shindano hili. Haya hela ya shooping ambayo ni shilingi milioni tano walipaswa wamlipe mtoto mpaka leo bado siku mbili mtoto anaondoka Jumamosi leo wanamkabidhi tiketi bado hawajampa hela ya shooping sasa mtoto anaendaje bila maandalizi, ndiyo maana nchi yetu kila mwaka inakuwa ya mwisho,” alisema Mama Happiness 

CHANZO: BONGO 5

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>