Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Prof John Nkoma akizungumza na wamiliki wa mitandao ya kijamii (Blogs) wakati wa warsha kwa bloggers ambao umefanyika katika ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Maelezo, Bw Assah Mwambene akichangia mada wakati wa mkutano wa bloggers ulioandaliwa na mamalaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA HAPA CHINI
Baadhi ya Wamiliki wa Blogs wakifuatilia Mazungumzo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA (hayupo Pichani) wakati wa ufunguzi wa warsha ya Mkutano iliyoandaliwa na mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kwa Bloggers.
Injinia Kasaka Kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) akijibu maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wamiliki wa blogs
Mmiliki wa Blog ya 8020 fashion, Bi Shamim Mwasha(kwanza kushoto), Geofrey Adroph mmiliki wa Blog ya Pamoja(katikati) pamoja na Othman Michuzi kutoka Michuzi Media wakijadiliana jambo wakati wa Mkutano wa Bloggers ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
Mmiliki wa Blog ya Mdimuz Blog, Bw Henry Mdimu akichangia mada wakati wa mkutano wa bloggers ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwaajili ya kutoa elimu juu ya Sheria za Uchaguzi.
Mmiliki wa Blog ya 8020 fashion, Bi Shamim Mwasha akiuliza swali wakati wa mkutano wa bloggers uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani city, Mkutano huo umeandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ukiwa na lengo la kutoa elimu kwa bloggers juu ya Sheria za Uchaguzi Nchini.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof John Nkoma akijibu maswali ya wanablog wakati wa Mkutano na bloggers juu ya kuelimishwa juu ya sheria za uchaguzi.
Francis Godwin Kutoka Iringa akichangia mada wakati wa Mkutano wa Bloggers ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
Mandolini Kahindi wa Tabia Nchi Blog akichangia mada wakati wa Mkutano wa Bloggers ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
John Bukuku wa Fullshangwe Blog akichangia mada wakati wa Mkutano wa Bloggers ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
Getrude wa NkemaTanzania Blog akichangia mada wakati wa Mkutano wa Bloggers ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
Mandolini Kahindi wa Tabia Nchi Blog akichangia mada wakati wa Mkutano wa Bloggers ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
John Bukuku wa Fullshangwe Blog akichangia mada wakati wa Mkutano wa Bloggers ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
Getrude wa NkemaTanzania Blog akichangia mada wakati wa Mkutano wa Bloggers ulioandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
Wamiliki wa Blogs wakiendelea kufuatilia Mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Maelezo, Bw Assah Mwambene akifunga mkutano wa bloggers ulioandaliwa na mamalaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) uliofanyika leo katika Ukumbi wa Mlimani City.
Bloggers wakichukua matukio