Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

PICHA: UKAWA WASAINI MAKUBALIANO MAPYA, NI KUACHIANA KWENYE UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.



Viongozi wa vuguvugu la Katibaya Wananchi, (UKAWA), wakionyesha hati ya makubaliano baada ya kutia saini leo Jumanne Novemba 4, 2014 kwenye ofisi za makao makuu ya CUF, Buguruni jijini Dar es Salaam. Chini ya makubaliano hayo, yaliyohusisha vyama vinne, CHADEMA, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, yataanza kutekelezwa kwenye uchaguzi wa serikjali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu ambapo, UKAWA utamsimamisha mgombea anayekubalika kwenye eneo husika bila ya kujali chama. Hata hivyo mwakilishi wa NLD hakuwepo na ikaelezwa kuwa atasaini baadaye

Sehemu yamakubaliano ya UKAWAyaliyotiwa saini


ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Mwenyekiti mwenza wa UKAWA, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, akizungumza kuhusu ushirikiano huo
Katibu Mkuu wa UKAWA, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilbroad Slaa, akizungumza kwa kutumia nyaraka
Baadhi ya viongozi wa UKAWA, wakielekea kwenye ukumbi wa mkutano makao makuu ya CUF, Buguruni jijini Dar es Salaam, Jumanne Nov 4, 2014
Kutoka kushoto, Katibu Mkuu CHADEMA, Dkt. Wilbroad Slaa, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, wakisaini makubaliano hayo ya UKAWA
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, (Kulia), akizungumza baada ya kutiliana saini makubaliano hayo


Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>