Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Kutokana na kuwepo madai ya wanafunzi wa Mara sekondari kuwa ratiba ya chakula ni mbovu shuleni hapo pamoja matibabu duni, wanafunzi hao wamefanya mgomo hii leo
Hali hiyo imepelekea wanafunzi kulundikana kwa mafungu kama unavyoona kwenye picha, huku uongozi wa shule ukihaha kutafuta suluhu.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Taarifa zaidi utazidi kuipata hapa hapa
Picha na Augustine Mgendi