Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

WAHUSIKA MNALIONA HILI: WANANCHI WAMEANZA KUJIGAWIA MAENEO KWENYE BARABARA YA MAGARI YAENDAYO KWA KASI

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Kikubwa ni kujiuliza hivi viongozi wa eneo la Manzese hawaoni wananchi hao wanaofanya biashara kwenye barabara ya magari yaendayo kwa kasi kwenye barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam. Barabara yenyewe bado haijakamilika na istoshe haijakabidhiwa lakini wafanya biashara wameanza kufaya biashara mbalimbali katika eneo la barabara hiyo. Kuna wengine wanafanya biashara ndani ya vituo vya mabasi yaendayo kwa kasi. Kutokana na wafanya biashara kuvamia eneo hili inaweza kupelekea uharibifu ya miundo mbinu hiyo ya barabara. Kwa hili lawama atupiwe nani?



Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>