Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

AJALI YATOKEA MOSHI BAADA YA GARI LA ABIRIA KUPINDUKA NA KUSABABISHA VIFO

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu. 


Hii ndiyo Hiace inavyoonekana mara baada ya kupata ajali
Wananchi wakienda kushuhudia ajali hiyo na kutoa msaada kwa majeruhi.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI


Wananchi wakiangalia Hiace hiyo iliyopata ajaliMajeruhi wa ajali hiyo wakiwahishwa hospitalini kwa matibabu zaidiWananchi wakiuangalia mwili wa aliyefariki katika ajali hiyo (uliofunikwa kwa kitenge katikati ya barabara)Ajali ya gari la abiria imetokea hii leo katika eneo la KNCU barabara ya Kibosho Kirima Moshi mkoani Kilimanjaro, baada ya gari la abiria (hiace) kupata ajali huku chanzo kikidaiwa kuwa ni mwendo kasi

Kwa mujibu wa ripota wa mtandao huu aliyefika eneo hilo amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa 11 jioni na abiria kadhaa wamejeruhiwa na kukumbizwa hospitali kwa matibabu zaidi huku abiria mmoja akihisiwa kufariki dunia katika ajali hiyo

Hizi ni taarifa za awali tunaendelea kufuatilia taarifa za ajali hiyo ili uzipate kwa uhakika, endelea kuwa nasi mara mara

Picha na Thade Expensive wa eddy blog, Moshi

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>