Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Pikipiki iliyopata ajali ikiwa chini.
KAMERA ya leo imenasa umati wa watu wakiwa wamemzunguka mwendesha pikipiki, maeneo ya kona ya kuingia stendi mpya ya Simu 2000, maeneo ya Ubungo jijini Dar esSalaam, ambaye alipata ajali na kuumia sehemu kadhaa za mwili wake.
Umati wa watu ukishuhudia ajali hiyo.
Daladala iliyojitolea kumsaidia mjeruhiwa.
Kondakta wa daladala akiendesha pikipiki ya majeruhi.