Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Hashimu Donode akiimba kwa hisia kalii kabisaaa ndani ya Thai Village ili kuwapa burudani mashabiki wake.
Kama kawaida yetu kila ifikapo Ijumaa Bendi yako kali na matata hapa nchini Skylight Band tunakuwepo ndani ya kiota cha maraha Thai Village Masaki, Njoo wewe,yule na wote kuanzia mida ya saa tatu kamili mpaka mida yetu ileeeeeeeee, upate muziki mzuriiii kwenye masikio yako kwa masong makali na mapya toka kwa Timu nzima ya Skylight Band. Sogea sogea pale kati.
Digna Mbepera akiimba kwa ustadi mkubwa kabisa kutoa Burudani kwa mashabiki wake.
Kifaaa kipya machachari na moto mtoto mzuriiiiii Bela Kombo akizipiga zile vocal kaliiiii ndani ya Thai Village
Aneth Kushaba AK47 Le Meneja Her Self akichunguliaaaaaa huku akizipiga zile vocal kaliiii ndani Thai village.
Majembe ya Skylight Band Hashim Donode wa kwanza kulia, Bela Kombo (katikati), Aneth Kushaba na Digna Mbepera(Wa kwanza kushoto) wakishirikiana kutoa Burudani kaliiii ndani ya Thai Village Masaki
Shabiki Huyu akashindwa kujizuia na kuamua kumpa Sapoti Aneth Kushaba baada ya kuguswa na zile vokaliii nzuriiii
Bana Ba Congo wakiongozwa na Sam Mapenzi(wa kwanza kulia) wakiyarudi mauno vilivyoooo kuwapa raha mashabiki wao.
Sony Masamba(Katikati) akizipia Vokali nzuriiii za Congo huku akipewa sapoti ya mauno nyorotiiii na Joniko Flower(wa kwanza kushoto) na Sam Mapenzi kulia
Rahaaa kweliiii kweliiii Bana Ba Congo wakiendelea kutoa Burudaniii safiiiii ndani ya Thai Village Ijumaa Iliyopita
Weweeeee hapana chezea kabisaaa mguu juu juuuu
Aneth Kushaba akiyarudi maunooo vilivyoooo akipewa Sapoti na Donode (katikati).
Safiii kabisa Majembe kazini Digna Mbepera (mwenye Top Nyeupe) akiwa na Donode (katikati) na Aneth Kushaba wa Kwanza kulia wakiendelea kutoa burudani kaliii ndani ya Thai Village Masaki Ijumaa iliyopita.
Aneth Kushaba(Wa kwanza kulia)akiimba kwa rahaaaa kabisa huku akipewa sapoti na Hashimu Donode
Joniko Flower akiwaimbisha mashabiki hawapo piachani ndani ya Kiota cha maraha Thai Village Ijumaa iliyopita
Mashabiki wakicheza mastailiii kibaoooo waliyokuwa wakielekezwa na Joniko Flower, Njooo na wewe leo ujifunze kucheza kikuku na nyingine kiba0.
Imma Bass akimpa baraka nyingiiiiii mpiga Bass Mwenzake Tophy huku wakiwa na furaha kubwaaa kabisa.Usikoseeee Leo ndani ya Thai Village itakuwa Balaaa ............