Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Makamu wa Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la FlyDubai ,Bwa.Sudhir Sreedharan akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali jana kwenye uwanja wa kimataifa wa Jk Nyerere Kwenye Uzinduzi wa Shirika jipya la ndege la Fly Dubai.
Shirika Jipya la Ndege la Fly Dubai Jana Wamezindua safari zao nchini kwa gharama za bei nafuu,pia ndege hiyo itakuwa ikiruka moja kwa moja pia kutokea Zanzibar kwenda Dubai
Balozi mdogo wa Tanzania Nchini Dubai Mh Omar Mjenga akitoa shikrani zake kwa shirika la Fly Dubai kwa kuanza safari zao nchini Tanzania.
Mgeni rasmi,Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu akizungumza mapema leo katika uzinduzi wa njia mbili mpya za ndege ya FlyDubai aina ya Boieng 737-800,uliofanyika katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini Dar
Sehemu ya Wafanyakazi wa Uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere wakifuatilia uzinduzi huo
Mh Pius Msekwa akifuarajia Jambo wakati wa uzinduzi wa safari za shirika la Ndege la Fly Dubai
Makamu wa Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la FlyDubai ,Bwa.Sudhir Sreedharan akiteta jambo na Mgeni rasmi,Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu
Baadhi ya wageni wakishangilia Jmabo
Makamu wa Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la FlyDubai ,Bwa.Sudhir Sreedharan akijadiliana jambo na Mgeni rasmi,Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu wakati wakisubili ndege itue
Mgeni rasmi,Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu akifurahia jambo na Mh Pius Msekwa wakati wakisubilia ndege ya FlyDubai aina ya Boieng 737-800 itue kwa mara ya kwanza nchini
Mgeni rasmi,Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu na Balozi mdogo wa Tanzania Nchini Dubai Mh Omar Mjenga wakisubilia ndege ya FlyDubai aina ya Boieng 737-800 itue kwa mara ya kwanza nchini
Baadhi ya viongozi wa Shirika la Ndege ya Fly Dubai wakisubili Ndege ya Itue
Hatimaye ndege ya Fly Dubai ikatua kwenye uwanja wa kimataifa wa Jk Nyerere
Makamu wa Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la FlyDubai ,Bwa.Sudhir Sreedharan akikaribishwa nchini
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza
Makamu wa Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la FlyDubai ,Bwa.Sudhir Sreedharan akisalimiana na Mh Pius Msekwa
Makamu wa Rais mwandamizi katika shughuli za kibiashara wa shirika la ndege la FlyDubai ,Bwa.Sudhir Sreedharan akimpa zawadi Mgeni rasmi,Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano,Mh Samia Suluhu