Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mfanyabiashara Haidary Gulamali mbaye pia ni Kamanda wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Dodoma akifafanua jambo alipokuwa akiongea na wanafunzi waagwa wa kidato cha nne wa shule ya Hijra Sekondari wakati wa mahafali yao.
Mfanya Bishara maarufu Haidary Gulamali akiwakabidhi uongozi wa shule ya Sekondari ya Hijra ya mjini Dodoma mifuko ya saluji 50 kwa ajli ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi, ambapo wanafunzi wa shule hiyo wamekua wakipata tabu ya mabweni hali ilyoulazimu uongozi shuleni hapo kuteua baadhi ya madarasa kuwa mabweni.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mmoja wa wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya hijra Sekondari akipokea cheti cha kumaliza masomo yake toka kwa kamanda wa UVCCM Haidary Gulamali.
Wadau wa Elimu wakiwa katika picha ya pamoja walipohudhulia mahafari ya kidato cha nne ya wanafunzi wa hijra sekondari.
Baadhi ya wazazi wa wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya Hijra Sekondari wakiwa katika sherehe za mahafari ya kuwaaga.