Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

UPDATES: MAJAMBAZI YAPORA FEDHA NA KUUA NJE YA KIWANDA CHA VIATU BORA

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu. 


Polisi akiingia bora
Baadhi ya Polisi wa doria ya Pikipiki wakiwa nje ya kiwanda cha Bora.


Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamepora begi linalodaiwa kuwa na fedha kisha kumpiga risasi ya shingo mwendesha boda boda na kupora pikipiki yake nje ya Kiwabnda cha Bora, barabara ya Nyerere Dar es Salaam.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Father Kidevu Blog ilifika eneo la tukio na kukuta watu wakielezea tukio hilo na kulifabnanisha na la sinema kutokana na kile walichokiona.

"Tuliona mzee mmoja tunahisi ni mfakazi wa Bora, alifika na pikipiki hapa, wakati anataka kuingia ndani wakafika watu wengine wawili katika pikipiki na kuamuru kupewa begi lile na ghafla mwenda pikipiki akawa anawahoji inakuaje wanachukua begi hilo ndipo tukasikia mlio wa risasi na bodaboda yule akaanguka chini wakamsukuma na kuchukua pikipiki yake na kukimbia nayo," alisema shuhuda yule.

Polisi ilifika eneo la tukio huku wengine wakiendelea na msako mkali dhidi ya wahalifu hao wakutumia sihala huku hofu ya kijana yule wa boda boda kupoteza maisha ikiwa kubwa kutokana na eneo alilopigwa risasi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>