Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Aliyekuwa Katibu wa uchumi na Fedha wa CCM mkoa wa Dodoma, Haidary Gulamali akivalishwa vazi la kaniki linalotumiwa na kabila la kigogo wakati akisimikwa ukamanda wa umoja wa vijana UVCCM mkoa wa Dodoma na Barozi mstaafu Jobu Lusinde huku kamanda wa vijana taifa Kingunge Ngombale Mwilu akishuhudia.(Picha na John Banda)
Kamanda wa UVCCM mkoa wa Dodoma Haidary Gulamali akiwa kwenye kigoda akishikilia zana mbalimbali za kimira baada ya kusimikwa rasmi, waliosimama ni Kingunge Ngombale Mwilu na viongozi wa umoja wa vijana.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM mkoa wa Dodoma Henry Msunga akizungumza jambo katika sherehe hizo, waliokaa ni kamanda wa UVCCM taifa Kingunge Ngombale Mwilu na Haidary Gulamali aliyesimikwa kuwa kamanda wa vijana Mkoa.
Kamanda wa vijana taifa Kingunge Ngombale Mwilu akisalimiana na Barozi Jobu Lusinde nje ya ofisi za CCM mkoa wa Dodoma alipohudhulia sherehe za kuapishwa Kamanda wa vijana wa mkoa huo.
Kamanda Gulamali akishikana mikono na vijana wa UVCCM alipokuwa akikabidhi Cherehani 10, viti 100 na meza 25 kwa umoja huo ili waweze kuvitumia kama kama mradi wa jumuiya hiyo ndani ya CCM.