Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu. 2014
Redd's Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu akiwa na mshindi wa tatu, Jihan Dimachk (Kushoto) na mashindi wa pili, Lilian Kamazina mara baada ya kutangazwa washindi usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City
Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili,Lillian Kamazima (kulia) na Mshindi wa Tatu, Jihhan Dimachk mara baada ya kutawazwa rasmi usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam. Sitti Mtemvu alianza kwa kunyakua Redds Miss Chang'ombe na baadaye Redds Miss Temeke. Sitti ni binti wa Mbunge wa Temeke, Mhe. Abbas Mtemvu. Picha na Othman Michuzi na Francis Dande.
Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa akimvisha taji Redds Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Msanii wa Bongo Fleva, Vanesa Mdee akitumbuiza katika shindano hilo.
Msanii wa Bongo Fleva, Vanesa Mdee akitumbuiza katika shindano hilo.
Warembo wakicheza shoo ya ufunguzi wa Shindano la Redd's Miss Tanzania 2014.

Vanesa akifanya vitu vyake.
Wasanii wakitoa burudani.
Wasanii wakitoa burudani.
Warembo wakiwa na vazi la ufukweni.
Vazi la ufukweni.
Vanes akitoa burudani.
Warembo walioingia katika hatua ya 15 bora.
Tano bora.
Ommy Dimpoz akiimba na Vanesa Mdee
Meneja wa Kinywaji cha Redd's Victoria Kimaro akimkabidhi mfano wa hundi, Redd's Miss Tanzania, Sitti Mtemvu.
Redd's Miss Tanzania akikabidhiwa mfano wa hundi.
Redd's Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu akiwapungia mkono wadau wa urembo waliohudhuria shindano hilo.
Sitti Mtemvu akipongezwa na baba yake, Mbenge wa Temeke Abbas Mtemvu baada ya kuvishwa taji la Redd's Miss Tanzania usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Mlimani City
Mbunge wa Temeke Abass Mtemvu akipongezwa na wadau wa urembo baada ya binti yake kutwaa taji hilo.
Mbunge wa Temeke akizungumza na waandishi wa habari.
Redd's Miss Tanzania akiwa amezungukwa na mabausa.
Warembo wakionyesha vibaji vyao.
Warembo wakionyesha vibaji vyao.
Warembo wakionyesha vibaji vyao.