Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko la maadhimisho ya siku ya kupinga adhabu ya kifo Duniani. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Idara ya Dawati la Katiba wa LHRC, Anna Henga na Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji, Imelda Urrio.
Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda Urrio (kulia) akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Dawati la Katiba, Anna Henga.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)