Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Kabla ya kusoma hatua hizi unatakiwa kuelewa kwamba hii ni kwa asilimia 75 mpaka 85 ya watu wote. Hii inamaana kwamba wanaobaki hufanya kinyume chake. Hivyo kabla hujahitimisha ni vizuri kumuuliza maswali kadhaa kama anatumia mkono gani nk!
1. Akiangalia pembeni kulia kwake
Anajaribu kukumbuka kitu alichoambiwa au kusoma mahali! Mara nyingi hatadanganya
2. Akiangalia chini muelekeo wa kulia, anawaza mambo yake binafsi, pengine ulichokisema kinagusa maisha yake mojakwamoja
3. Juu kushoto, anajaribu kutengeneza uongo atakaousema muda si mrefu.
4. Akiangalia mbele na kukaza macho,Kuna kitu anakumbuka kitu kilichotokea (alishuhudia) mbele ya macho yake.
5. Kuangalia chini (katikati), ni hali ya kukubali unachokisema, kutaka kuonewa huruma au msamaha.
ENDEKEA KUSOMA MAKALA HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
6. Kuangalia mdomoni au kifuani, Ni ishara ya kuvutiwa na wewe kimapenzi
7. Kuogopa Kuangalia machoni, Ni dalili ya kushikwa na uoga, kukosa amani na udanganyifu wakati mwingine.
8. Kuminya macho (blinking) kwa haraka kupita kawaida, huonyesha kwamba mtu huyo ni muongo na amepoteza ujasiri wake.
9. Macho kutotulia, havutiwi na mnachokizungumzia, hayuko makini au anakudanganya.
10. Unapoonana na mtu kwa mara ya kwanza, atakayekuwa wa kwanza kuangalia pembeni huonyesha ishara ya unyonge mbele ya mwingine.
NA KUMI MUHIMU