Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Rais Jakaya Kikwete akifafanua jambo wakati alipokua akizungumza na Wakuu wa Mikoa, Mkatibu Tawala wa mikoa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Maofisa Usalama wa Mikoa na wilaya na maafsa Elimu wakati wa kikao cha kazi kinachofanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa Chimwaga Dodoma kushoto ni Waziri wa Tamisemi Hawa Ghasia.
Waziri wa Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Hawa Ghasia akifurahia jambo wakati alipokuwa akitoa taarifa mbele ya Rais na viongozi wa mikoa, Wilaya na Halmashari.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Wajumbe wa Kikao cha kazi kinachoendelea mjini Dodoma wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete hayupo pichani wakati wa kikao cha Kazi kilichoanza juzi na kutarajiwa kumalizika leo ijumaa, kikao hicho ni cha usimamizi wa uendeshaji wa Elimu ya msingi kilichojumuisha viongozi wa Mikoa, Wilaya na Halmashauri.