Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
- Naweza Kuazima hela kidogo?
- Unazungumziaje suala la mimi na wewe kuoana?
- Usiulize swali lolote linalohusu kujamiiana
- Unapokea mshahara kiasi gani?
- Unategemea kuwa na familia ya watoto wangapi?
- Wazazi wako wanafanya kazi gani? Wanaishi vipi?
- Usiulize maswali mengi yanayomuhusu mpenzi wake wa zamani.
- Hivi naonekana vipi? (huonesha hali ya kutaka sifa)
- Una Ugonjwa wowote?
- Kwanini hutumii simu/gari ya kisasa? Au kwanini umevaa hivyo leo?
NA KUMI MUHIMU