Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

PICHA: YALIYOJIRI KATIKA BUNGE LA KATIBA KWA SIKU YA JANA

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu. 

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu akiongoza kikao cha Bunge hilo Septemba 27, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd wakiteta Bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014.

 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Stephene Wasira akichangia Bungeni mJini Dodoma Septemba 27, 2014.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru akichangia bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba, Andrew Chenge akichangia, bungeni mjini Dodoma, Septemba 27, 2014.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akiteta na Mjumbe wa Bunge hilo, Kingunge Ngombale Mwiru, bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema (kulia) na Hamad Rashid (kushoto) wakiteta bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mark Mwandosya kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 27, 2014.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, John Momose Cheyo akichangia bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto) na profesa Mark Mwandosya wakifuatilia mjadala bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru (kulia) akimpongeza mjumbe mwenzake, John Cheyo ambaye alitoa mchango wa kusisimua bungeni Septemba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>