Quantcast
Channel: PAMOJA BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA AIRTEL YA AHIDI KUJENGA CHUMBA CHA MAABARA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA VIWANDANI MANISPAA YA DODOMA

$
0
0
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
 

 Meneja Masoko wa kampuni ya Simu za mikononi ya Airtel Anthony Msanga akitoa hutuba kwenye mahafali ya sita ya wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Viwandani, walioka kulia ni Mkuu wa shule hiyo Zainab Rajab na Mwenyekiti wa Bodi ya shule Oliver Masangia.
 Mkuu wa Shule ya Viwandani Sekondari  manispaa ya Dodoma Zainab Rajab akisoma taarifa ya shule hiyo kwenye mahafari ya 6 ya kidato cha Nne yalihusisha wahitimu 115.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
 
 Mgeni Rasmi kwenye Mahafari ya 6 ya kidato cha Nne ya Shule ya Viwandani Sekondari Meneja Masoko wa Airtel Kanda ya kati Anthony Msanga akitoa cheti kwa mmoja wa wahitimu wakati wa mahafali hayo.
 Mhitimu wa Kidato cha Nne katika shule ya Viwandani Sekondari Annastazia Bukola akionyesha kipaji cha kuimba na kucheza Muziki wa Kizazi kipya huku wahitimu wenzake wakimshangilia, ambapo aliibuka na zawadi ya  Mordem ya Airtel yenye kifurushi chake ili aweze kuingiza nyimbo zake kwenye mtanadao ya kijamii ili kipaji chake kiweze kujitangaza mapema.
 Wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Viwandani manisapaa ya Dodoma wakiwa katika mahafari hayo.
 

  Walimu wa shule ya Sekondari ya viwandani wakijaribu kumthibiti mmoaja wa vijana waliofika katika sherehe za mahafari ya kidato cha Nnne aliyefika na wenzake na kisha kuanzisha Fujo kwa kupiga watu hovyo kwa mawe hali iliyosababisha Mwalimu wa Shule hiyo, Mwanafunzi na Mwandishi wa habari wa kituo cha Rasi Fm aliyekuwa kwenye majukumu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 16395

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>