Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
USISEME MANENO HAYA
- Unaonekana tofauti na picha uliyonitumia/kuona
- Nimesahau pochi/wallet yangu! (na hutakiwi kusahau)
- Mpenzi wangu wa zamani alikuwa anapenda sana kuja hapa!
- Unavutia sana, Tunaweza kuwa wapenzi (endapo sio mpenzi wako)
- Ilikuwa siku nzuri sana kuonana na wewe!
- Asante kwa kukubali wito wangu, safari salama!
- Ningependa tuendelee kuongea ila Kwa kweli nahitaji kuondoka!
- Asante kwa kuifanya siku yangu iwe njema
- Nimefurahi sana kufahamiana na wewe!
- Sikuwahi kujua kama unauwezo fulani (taja ulichogundua kwake) siku njema
NA KUMI MUHIMU